Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Thursday, May 31, 2012

Wabunge wa Chadema Waangwa rasmi kwa kuangalia mechi ya kimataifa

Baaada ya kazi kubwa ya kuzindua na kuimarisha tawi la chadema Washington Dc Maryland na Virginia,Wabunge wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)Mhe. Peter  Msigwa na  Mhe. Nassari Joshua, Al-Marufu  Dogo janja, Usiku wa Jana Jumatano Mei 30,2011  waagwa rasmi kwa kuangalia mpambano wa kimataifa kati ya US na Brazil ndani ya uwanja wa Fedex, uliopo Landover Maryland Nchini marekani

Wabunge wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mhe, Peter Msigwa na Mhe. Nassari Joshua, Al-Marufu Dogo janja, wakiwa na uwongozi wa tawi la Chadema Washington Dc Libe Mwangombe, wanne, Mjomba a.k.a Cosmas, Mzee wa swahilivilla Aboh Shatry wa pili kulia, pamoja na mashabiki wa US, wakiiunga mkono bendera ya taifa. (Picha maelezo na swahilivilla.blog spot.com)

Idadi ya wapenzi waliohudhuria katika mpambano huo ni 67,656 wakiwemo  Mhe. Nassari Joshua pamoja na Mhe, Peter Msigwa.  (Picha maelezo na swahilivilla.blog spot.com)

Wabunge wa chama cha Chadema wakipata flash ya pamoja na warembo wa Kibrazil ndani ya uwanja wa FedexField, uliopo Landover Maryland Nchini marekani. (Picha maelezo na swahilivilla.blog spot.com)

Picha ya pamoja na viongozi wa juu wa Chadema kwenye mpambano wa US na Brazil Usiku wa kuamkia leo  Alhamis Mei 31,2012 ndani ya ndani ya uwanja wa Fedex, uliopo Landover Maryland Nchini marekani

Nabendera ya Taifa wakishangilia Bao la  kwanza la Brazil lilifungwa kwa Penalti na mchezaji Neymar

Wachezaji wa Brazil wakilinda ngome yao kwa kuwadhibiti timu ya US kwenye mechi hiyo ya kirafiki ambapo timu ya Brazil waliweza kuwabamiza US bao 4-1 nyumbani kwao.

US. hoi kwa Brazil baada ya kubamizwa bao nne bao la kwanza lilifungwa na Neymar, na lapili na Thiago mnamo wa dakika ya 11, kipindi cha kwanza. bao la US lilifungwa na Hercules Gomes dakika ya 44 kipindi chakwanza hadi mapumziko Brazil 2 US 1 kwenye mchezo wa kirafiki. (Picha maelezo na swahilivilla.blog spot.com)

Landon Donovan
Forward wa United States Landon Donovan, akipandisha majeshi juu huku alidhibitiwa na Brazil defender Marcelo wa Brazi katika mpambano wa kirafiki.

Hivyo ndivyo ilivyo katika uwanja wa FedexFeild, uliopo Landover Maryland Nchini Marekani  (Picha maelezo na swahilivilla.blog spot.com)

Angalia kwa makini US vs. Brazil: Bao la kwanza lililofungwa kwa njia ya Penalti na Neymar May 30, 2012

Thursday, May 24, 2012

JOHN MNYIKA ASHINDA KESI


Mbunge wa Jimbo la Ubungo (Chadema), John Mnyika.
Mbunge wa Jimbo la Ubungo (Chadema), John Mnyika ameshinda kesi iliyokuwa inamkabili ya uchaguzi wa jimbo hilo wa mwaka 2010, baada ya Mahakama kutupilia mbali mashitaka yote matano yaliyokuwa yakimkabili ambayo ni :
1)Kwamba Mnyika alimtuhumu kuuza nyumba za UWT
2)Kutumia Laptop za Mnyika Kuhesabu kura
3)Kuingia watu wengi wa CHADEMA ktk chumba cha kuhesabia kura
4)Kuzidi kwa kura hewa 16,000
5)Kukosewa kwa karatasi za kujumulisha kura (form)

Mlalamikaji Hawa Nghumbi (CCM) anatakiwa kulipa gharama zote za kesi hiyo kama ilivyoamriwa na Mahakama.

Tuesday, May 22, 2012

BEYONCE AFUNGUA TOVUTI YAKE AMBAYO IMEJAA PICHA ZAKE BINAFSI


MWIMBAJI BEYONCE AMBAE KWA KIPINDI HIKI BAADA YA KUJIFUNGUA AMEKUWA AJITAHIDI KUWEKA MAISHA YAKE BINAFSI MBALI NA VYOMBO VYA HABARI AMEFUNGUA TOVUTI YAKE BINAFSI AMBAYO MIMI NIMEONA IMEJAZA PICHA ZAKE AKILA BATA NA WATU WAKE WA KARIBU.. PICHA AMBAZO ZILIKUWA HAZIJAONEKANA KWA MITANDAO MINGI... KUTIA UKURASA WAKE WA TWITTER AMBAO ANAFOLLOWERS KIBAO ALIANDIKA UJUMBE ULIOWATAKA WATU KUTEMBELEA  TOVUTI YAKE HIYO.







 

MWIMBAJI BEYONCE AMBAE KWA KIPINDI HIKI BAADA YA KUJIFUNGUA AMEKUWA AJITAHIDI KUWEKA MAISHA YAKE BINAFSI MBALI NA VYOMBO VYA HABARI AMEFUNGUA TOVUTI YAKE BINAFSI AMBAYO MIMI NIMEONA IMEJAZA PICHA ZAKE AKILA BATA NA WATU WAKE WA KARIBU.. PICHA AMBAZO ZILIKUWA HAZIJAONEKANA KWA MITANDAO MINGI... KUTIA UKURASA WAKE WA TWITTER AMBAO ANAFOLLOWERS KIBAO ALIANDIKA UJUMBE ULIOWATAKA WATU KUTEMBELEA  TOVUTI YAKE HIYO.

HIZI NI BAADHI YA PICHA ZINAZOPATIKANA KATIKA WEBSITE YAKE HIYO INAYOITWA www.beyonce.com






HIZI NI BAADHI YA PICHA ZINAZOPATIKANA KATIKA WEBSITE YAKE HIYO INAYOITWA www.beyonce.com



HIZI NI BAADHI YA PICHA ZINAZOPATIKANA KATIKA WEBSITE YAKE HIYO INAYOITWA www.beyonce.com














GIRLS... MARTIN KADINDA GIVES YOU SINGLE BUTTON


tafuta yeye utoke chicha namna hiyo

May 21, 2012SHUJAA FLAVIANA MATATA AGAWA MABOYA 500 YA KUJIOKOLEA MAJINI, KATIKA KUMBUKUMBU YA KUZAMA KWA MELI YA MV BUKOBA

Flaviana Matata alishindwa kujizuia na kuangua kilio wakati wa ibaada ya kumbukumbu ya miaka 16 ya ajali ya meli ya MV Bukoba alipotembelea baadhi ya makaburi ya watu waliopoteza maisha katika ajali hiyo yaliyopo Igoma jijini Mwanza, katika ajali hiyo Flaviana alimpoteza mama yake mzazi.
Flaviana Matata akikabidhi msaada wa maboya 500 kwa mwakilishi wa mkuu wa mkoa wa Mwanza, Elias Makori kulia ikiwa ni kumbukumbu ya miaka 16 ya ajali ya meli ya MV Bukoba, anayeshuhudia ni Meneja Masoko na Biashara wa Shirika la usafirishaji wa majini mkoani Mwanza la Marine Service,Kapten Obadia Nkongoki. Igoma jijini Mwanza,


Waombolezaji wengine waliofiwa na ndugu zao wakiombea marehemu wa ajali hiyo

Flaviana na wageni wakiweka  mashada kwenye makaburi ya waliofariki kwenye ajali hiyo Igoma Mwanza

NENO LA LEO TOKA KWA JIDE BINTI MACHOZI

 
Sio kila anae achwa/achika hafai kuwa mume/mke wengine inakuwa wametoa mioyo yao kwa manyang'au bila kujua. # Nukuu toka kwa Jide Imenigusa

Monday, May 21, 2012

THIS IS THE WORK OF MY HAND-S FLORA BAHATI LYIMO DESIGNER" YOU CAN GET IT ANYTIME TEL:07787471024 "

THIS IS THE WORK OF MY HAND-S FLORA BAHATI LYIMO DESIGNER" YOU CAN GET IT ANYTIME TEL:07787471024 "